SIMBA: 'Thank You' Jonas Mkude" Bye Bye

 

SIMBA: 'Thank You' Jonas Mkude" Bye Bye



Miaka 13 Jonas alihudumu ndani ya SimbaSC kwa jasho na damu kwa mapenzi ya dhati hatimaye amepewa mkono wa kwa heri. Kila kitu kina mwisho wake , Simba wametangaza kuachana naye.


''Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika muda wote wa miaka 13 aliyodumu nasi. Tunamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ya maisha ya soka nje ya Simba''. SimbaSC via Social Media

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad