Simba Wamtema Vunja Bei Uzalishaji wa Jezi, Waingia Mkataba Mpya na Sandaland


Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na Sandaland the Only One wa kuzalisha jezi wenye thamani ya Tsh. 2 bilioni kwa mwaka. Simba itavuna jumla ya Tsh. 4 bilioni katika kipindi cha miaka miwili ya mkataba huo.

Kuanzia msimu huu [2023|24] Sandaland the Only One anakuwa Mzalishaji Mkuu wa jezi na vifaa vingine vyote kwa chapa ya Simba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad