Taarifa ya Kusikitisha Yanga Africa Yafungiwa Kusajili Wachezaji Wapya..Kisa Kizima Hichi Hapa


TARIFA YA KUSIKITISHA | 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐏𝐎𝐑𝐓𝐒 𝐂𝐋𝐔𝐁

Usiku kucha tulifuatilia kuangalia TMS ya FIFA na imethibitishwa 100% kuwa Yanga SC wamefungiwa rasmi kusajili wachezaji wapya kwenye dirisha hili la uhamisho hadi watakapomalizana na kocha wao wa zamani Luc Eymael.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad