Web

Tetesi za Usajili Zinasema Kipa Djigui Diarra Nae Kusepa Yanga, Nabi Anamtaka South

Top Post Ad

Tetesi za Usajili Zinasema Kipa Djigui Diarra Nae Kusepa Yanga, Nabi Anamtaka South

Kuna uwezekano mlinda mlango wa kikosi cha Yanga SC Djigui Diarra akaondoka kikosini hapo.

Taarifa za ndani zinasema huenda Diarra na Mayele wakaelekea Kaizer Chiefs pamoja na aliyekuwa kocha wa kikosi hicho Naserdine Nabi.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.