Timu ya Yanga Msimu Ujao Haitakuwa na Ubora Mzuri Kama wa Kocha Nabi



Anatabiri Mchambuzi @boiboimkali ✍️

"Yanga walikuwa bora chini Nabi kwenye misimu miwili iliyopita na kocha huyo ndiye alieijenga timu ya Yanga kuwa katika ubora kwenye kila kitu, Kocha mpya akifika kwenye timu ni lazima atake kutambulisha mifumo yake kwa wachezaji na namna anavyohitaji timu icheze, na inawezekana kuna wachezaji wasihitajike na kocha uyo kutokana kutoendana na mifumo ya kocha huyo"

"Inaweza kupelekea timu kushindwa kuwa katika ubora uleule na kupelekea kutopata matokeo mazuri mwanzoni mwa msimu ujao, Hivyo mashabiki wa Yanga wajiandae kutokana na mabadiliko hayo"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad