Timua Timua yaanza Simba SC, Kocha wa makipa atemwa



Uongozi wa klabu ya Simba SC umefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake wa makipa, Chlouha Zakaria raia wa Morocco.

Kocha Zakaria amejiunga na kikosi cha Simba Novemba mwaka jana, kutokana na maboresho makubwa ya timu ambayo Simba imejipanga kufanya imeamua kutoendelea nae.

Uongozi wa klabu unaendelea na mchakato wa kutafuta mbadala wa Zakaria kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu mpya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad