Ushindi wa Fei Toto ni Funzo...Yanga Watakuwa Wamejifunza



Anatoa funzo @scanda24 ✍️

1. Ushindi wa Fei Toto ni funzo kwa viongozi wa vilabu, Wachezaji ni binadamu na wanastahili heshima, liwe funzo la hata kama humpendi mchezaji basi heshimu kipaji chake. Viongozi wajifunze HUMAN RESOURCE MANAGEMENT.
.
2. Ushindi wa Fei Toto ni Funzo kwa wanasheria wa vilabu kujifunza namna ya kuseti mikataba ambayo haina matundu, Dunia nzima ilikua inashangaa kwa nini Fei hashindi kwa mkataba ule, ni vile tu ni ngumu kupata haki kwenye soka letu.

5. Yanga watakua wamejifunza kuwaheshimu watoa maoni na kwamba sio chuki, watakua wamepima kati ya "Bingwa La kufeli" na watu wenye akili, watakua wamejifunza namna ya kupigana vita zao na watakua wamejifunza wasimame na nani.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad