Wafahamu Mastaa 30 Bongo Wanaomiliki Lebo zao za Muziki

 


Mastaa wa muziki wa Bongo Fleva na wale wa Bongo Movies kwa Tanzania imekuwa ni jambo la kawaida kufungua lebo zao na studio zao kwa ajili ya kuwasimamia wasanii wenzao ili waweze kufanikiwa kirahisi.


Zipo baadhi ya lebo ambazo sio tu maarufu Tanzania lakini pia zimefanikiwa hata kuutambulisha muziki wa Bongo kwenye soko la Kimataifa.


Hili ni jambo la kuji
vunia kama Taifa na watu kama hawa wanapaswa kushikwa mkono badala ya kupondwa ama kubezwa kwa hicho wanachokifanya.


Hawa ni baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva ambao wana miliki lebo zao binafsi.


1. Darassa - Classic Music Group (CMG) 2. Quick Rocka - Switch Music Group (SMG) 3. Madee - Manzese Music Baby (MMB) 4. Fid Q - Cheusi Dawa Entertainment 5. Dudu Baya - Mamba Entertainment 6. Moni Centrozone - Majengo Sokoni Music 7. Shilole - Shishi Gaing 8. AY - Unity Entertainment 9. Nay wa Mitego - Free Nation 10. Belle 9 - Vitamini Music Group (VMG) 11. Vanessa Mdee - Mdee Music 12. Diamond Platnumz - WCB Wasafi 13. Jay Moe - So Famous 14. Harmonize - Konde Music Worldwide 15. Barakah The Prince - Bana Music Lab 16. Alikiba - Kings Music 17. Navy Kenzo - The Industry 18. Joh Makini - Makini Records 19. Rich Mavoko - Bilionea Kid 20. Shaa - SK Music 21. Rayvanny - Next Level Music (NLM) 22. Ommy Dimpoz - Poz Kwa Poz (PKP) 23. Wakazi - Work Ethic 24. Young Dee - Dream City 25. Wema Sepetu - Endless Fame Label 26. Nandy - The African Princes. 28. P Funk Majani - Bongo Records 29. Master J - MJ Records 30. Mkubwa Fella - Mkubwa na Wanawe


Ongeza aliyesahaulika?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad