Wanigeria Waishika Dunia Kwenye Muziki, Burna Boy Alipwa Bilioni 5 Kuburudisha Fainali za UEFA





Itoshe kusema tu Nigeria imeishika Dunia upande wa muziki, ilianza Davido Kuburudisha Kombe la Dunia, ikaja Tiwa Savage Kuburudisha Mfalme wa Uingereza Akitawazwa kuwa mfalme na sasa Burna Boy 

Msanii BurnaBoy Na Grillz mpya zenye Tarehe ambayo amefanya show kwenye Fainali Za UEFA , Tarehe 10,6,2023. Burna amelipwa USD milioni 2 kwa show hio, Tsh bilioni 5,

Hii ni nafasi ambayo wasanii wengi Afrika walisema wanatamani kuipata, kufanya show katika fainali za Klabu Bingwa Ulaya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad