Wapinzani wa Simba Msimu Ujao Mjipange, Robertinho Kashausoma Mchezo


Wala Sishangai kuona makocha wa viungo wanapewa mkono wa kwaheri pale msimbazi coz huu ni mpango wa Robertinho kuelekea msimu ujao.

Robertinho ni muumini wa "High pressing game" Hivyo muda wote anahitaji wachezaji wake wawe fit kwenye ukabaji,maamuzi,mikimbio n.k.

Mwamba akiwa pale Vipers alikuwa na kocha wa viungo kutoka Brazil. Nadhani wote tuliuona moto wa Vipers 🔥

Nina uhakika awamu hii Robertinho anakwenda kutengeneza benchi hatari la ufundi hivyo wapinzani wa Simba wanatakiwa kujipanga aiseee😀

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad