Yanga Hawakupashwa Kumuachia Fei Toto, Aziz K Ameshindwa Kuzipa Pengo Lake


Anasema @alexngereza._, Mchambuzi wa Tv3 Tanzania ✍️

"Kwa vilabu ambavyo vinajua kuheshimu thamani za wachezaji wao inakuwa ni ngumu sana kumuachia mchezaji muhimu kama feisal kuondoka kirahisi hivi lazima wangepandisha thamani yake kwa kumpa mkataba mnono kuliko hata hawa wachezaji wa kigeni"

"Lakini cha kushangaza Yanga wamewapa thamani kubwa wachezaji kama Stephanie Azizi ki ambao hawawezi kuziba hata pengo la feisal mpaka sasa"

"Yanga wanapaswa kujitazama upya ni aibu kwa timu kubwa kama hii inaachia wachezaji bora wanaondoka kirahisi kwa kutengeneza mikataba ambayo inalega lega"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad