Yanga Hawana Uwezo wa Kumlipa Mshahara Simon Msuva Kwa Sasa



Anaandika Mchambuzi @boiboimkali ✍️

"Simon Msuva alikuwa ankusanya Mshahara wa kiasi cha Dola 12000 kwa wiki ambazo ni sawa na kiasi cha Shilingi Milioni 28 za Kitanzania, Kwa ujumla kwa mwezi akusanya Dola 50,000 Ambazo ni sawa na kiasi cha shillingi Milioni 117 za kitanzania"

"klabu ya Yanga imekuwa ikihusishwa na kumsajili Simoni Msuva kutokana na Mchezaji huyo kumaliza kwa Mkataba wake na klabu yake ya Al Qadasiah ya nchini ya Saud Arabia"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad