Yanga Under 20 Nayo Aibu Tupu, Yashika Mkia Katika Kundi Lake


Wakati tunaipongeza Yanga kwa kuchukua makombe yote nchini [Ligi Kuu na Azam Sports Federation Cup] kwa miaka miwili mfululizo, huku ikicheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, timu yao ya vijana ipo hoi taaban!

Yanga U20 imeshika mkia kwenye kundi lake [Kundi B] la Ligi Kuu ya vijana [U20] inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Maana yake nini? Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya timu ya wakubwa na timu ya vijana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad