Ali Kiba Aingilia Sakata la Diamond Kukopi Nyimbo za Nigeria Asema haya "Tunadhalilisha Mziki wa Tanzania"

Ali Kiba Aingilia Sakata la Diamond Kukopi Nyimbo za Nigeria Asema

Mwanamuziki Ali Kiba amempiga dogo Mwanamuziki mwenzake Diamond Platnumz baada ya Wanaigeria Kumsulubu kwa ku copy nyimbo zao, Ali Kiba amedai jamaa anadhalilisha Mziki wa Tanzania , Soma kwenye picha hapo chini:

Ali Kiba Aingilia Sakata la Diamond Kukopi Nyimbo za Nigeria Asema

Wakati Huo huo Wakazi Ameandika Haya :

ALI KIBA na MECKY KALOKA walikuwa wanayajenga huko twitter… Niseme tu, I agree with them 100%

Tuwe wabunifu, tuwe na maono ya mbali, tuwe wa kipekee…

Maana ya TRENDING ni “kinachowika na kuzungumzika kwa muda huu”. Hebu tutamani KUWIKA NA KUZUNGUMZIKA KWA MUDA WOTE! Bob Marley kafa mimi bado sijazaliwa. Ila hata mtoto niliyempota miaka 20 anamjua “Bob Mlai” kama Wachagga wanavyomuita.

And Yes, unaweza ku sample muziki (kiubunifu), unaweza ku-refix na remake (Kiheshima), unaweza kuwa inspired… ila kama utaiba basi hutoishi kuzungumzika vizazi na vizazi kwa muziki (labda kwa vinginevyo).

Na sisi washabiki, tu support na ku encourage wasanii wabunifu wanaotoa kazi nzuri. (Atan ana wimbo na Otile, #Confession mkali, sasa hivi tu nimetoka kusikiliza wimbo wa Benson #Ataniua nao mkali).

So young artists be creative, take your time… do you, be you, and be unique!!

Nimefurahi kuona hawa watu wawili ambao mimi nawaheshimu kwenye Tasnia kuzungumzia hili (maana ningeanza mimi wa damu ya kunguni, pangechimbika). SALUTE! @officialalikiba @meckykaloka

Wakazi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad