Aliyekuwa Mume wa Diva Abdul Razak Adai yeye ni Mwamba wa Taifa


Aliyekuwa mume wa mtangazaji maarufu wa radio Tanzania Diva, @sheikh_abdulrazak_salum amekuwa kimya wakati Ex wake akitoa siri za ndoa yao na mambo tofauti yaliyopelekea ndoa yao kuvunjika, leo ktk Ig stori yake alichoandika kwa mara ya kwanza ni kuwa sasa anaitwa 'Mwamba wa taifa',
Hajasema nani kamuita mwamba....

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad