Anathibitisha Kocha Luc Mwenyewe "Yanga Tayari Wameshanilipa Pesa Yangu Yote "



Anathibitisha kocha Luc mwenyewe:

“Robo tatu ya pesa wanazotakiwa kunilipa wamenipa. Nataka tumalizane kwa amani. Hayo mambo ya kufungiwa sio kitu ambacho napenda kwa sababu nilikuwa na wakati mzuri Tanzania , ni vile tu kulitokea changamoto ambazo zilichochea kushindwana. Inabidi maisha mengine yaendelee"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad