Azimio la Umoja Kenya Watangaza Kusitisha Maandamano





Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya, umetangaza kusitisha maandamano ya kuipinga serikali, yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya Jumatano, Julai 26, 2023, badala yake watafanya mkesha na kuwasha mishumaa kama ishara ya kuwakumbuka wote waliofariki kutokana na kile walichokitaja kuwa ni ukatili uliofanywa na Polisi wakati wakiandamana wiki iliyopita.
.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Muungano huo, leo Julai 24, 2023, imedai kuwa watu 50 wamefariki, huku wengine wakilazwa hospitali kutokana na majeraha makubwa.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad