Baada ya Kumalizana na Fiston Mayele, Yanga Yawageukia Simon Msuva na George Mpole....

 

Baada ya Kumalizana na Fiston Mayele, Yanga Yawageukia Simon Msuva na George Mpole....

Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klabu ya Yanga zimesema kuwa mpaka sasa kuna majina mawili mezani ya Wachezaji wazawa, Simon Msuva na George Mpole.


Huku Jina la Simon Msuva likipewa kipaumbele zaidi,


Mazungumzo Upande wa Simon Msuva yanaendelea na kama watafikia anachohitaji basi anaweza kupewa Jezi namba 6.


Huku Mpole nae yupo nchini akisaka klabu ya kuitumikia japo kwa msimu mmoja ama zaidi kama mazungumzo yataenda sawa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad