Baba Levo Amchana Chino Kisa Kushindanishwa na Diamond Platnumz

 

Baba Levo Amchana Chino Kisa Kushindanishwa na Diamond Platnumz

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na Bongo Five, msanii Baba Levo amemuasa Chino kuwa kama atakuwa anafurahi kushindanishwa na Diamond atakuwa anaingia kwenye kina kirefu cha maji ambacho hataweza kutoka tena na ndio atapotea kabisa.


Baba Levo amemtolea mfano Kontawa na kusema amepotea kwenye game baada ya kukubali wimbo wake utumike kumtukana Diamond, alipomshirikisha Harmonize aliharibu kabisa.


Ameongeza kuwa wasanii wachaga ni vyema kujiepusha na mambo ya kushindanishwa na wasanii wakubwa kwani wana mashabiki wengi, badala awatumie mashabiki wa wasanii hao ila wao wanakubali kushindanishwa na mtu kama Diamond.


baba Levo amedai kuwa kuna watu wanamtuma Chino yaani wapo nyuma yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad