Benard Morisson Bado Ana Mapenzi na YANGA, Arudi Kambini Avic Town, uso kwa uso na Mkude

 

Benard Morisson Bado Ana Mapenzi na YANGA, Arudi Kambini Avic Town, uso kwa uso na Mkude

Leo Julai 19, Aliekuwa nyota wa Yanga raia wa Ghana Super Ben Morrison alienda katika kambi ya Yanga ambayo ipo Avic Town Kigamboni kuwasalimia.


Ndipo alikutana na mchezaji mwenzake Mkude ambaye walicheza pamoja wakati wakiwa Simba SC na kuibua furaha baina yao.


Ni Wapi Morrison atacheza msimu mpya? tutafahamu karibuni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad