BREAKING: Hizi Hapa Jezi Mpya za Simba Msimu wa 2023/24

 

BREAKING: Hizi Hapa Jezi Mpya za Simba Msimu wa 2023/24

Klabu ya Simba SC leo Julai 21 imezindua Jezi mpya zitakazotumika kwa msimu ujao 2023/24.


Simba imeingia Mkataba mpya wa utengenezaji wa jezi na mfanyabiashara maarufu Sandaland wakiachana na yule wa awali Fred Ngajilo maarufu kama "Fred Vunja Bei".


Jezi mpya za Simba SC kwa msimu ujao 2023/24 zimezinduliwa kwa staili ya kipekee katika kilele cha Mlima mrefu Barani Afrika, Mlima Kilimanjaro unaopatikana Tanzania.


Tukio hilo linaweka historia kwa klabu ya Simba kufanya tukio kama hilo kwa Vilabu vya mpira wa miguu nchini.


Tazama Picha zaidi hapa chini; kisha useme unaipa alama ngapi Jezi mpya ya Simba SC.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad