BREAKING: Jezi Mpya ya Yanga Yazinduliwa na Marais Wawili wa Africa....


Ni tukio la kihistoria kwa Yanga na ulimwengu wa soka kwa Marais wawili wa Nchi mbili tofauti kuzindua jezi za Club hiyo Ikulu.

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo.


Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi @caamil_88

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad