BREAKING: Paula ni Mjamzito, Marioo Athibitisha



Mwimbaji @marioo_tz amefichua kuwa wanatarajia kupata mtoto na @therealpaulahkajala kupitia post yake ya kumtakia heri ya siku yake ya kizaliwa.

Marioo amemuita Paula, Mama Kija akimaanisha kuwa ni Mama mtarajiwa kwenye andiko lake instagram. Ikiwa ni miezi kadhaa tu imepita tangu penzi lao waliwekwe wazi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad