Christian Ronald Arusha Dongo "Mlinikosoa Nilipoamua Kuja Kucheza Ligi ya Saudi, Nini Kinafanyika Sasa?"


“Wakati natoka United walikosoa sana kwa kuja kwenye Ligi ya Saudi, lakini nini kilifanyika sasa?"

"Ndani ya mwaka mmoja, wachezaji wengi wa juu zaidi watakuja Saudia na nina uhakika mwaka mmoja unatosha kwa ligi ya Saudi kuzipita ligi ya Uturuki na ligi ya Uholanzi." - CR7

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad