Club ya PSG ya Ufaransa imekubali dau la Al Hilal Kumuuza Mbappe


Club ya PSG ya Ufaransa imekubali dau la Al Hilal lililoweka rekodi ya dunia la pound milioni 259 kumnunua Kylian Mbappe na sasa Mabingwa hao wa Ufaransa wametoa ruhusa kwa Wasaudia hao kufanya mazungumzo na Mbappe.

Paris Saint-Germain wanaamini kuwa angalau vilabu vitano vina nia ya kumsajili Mbappe ambapo Tottenham wakiwa miongoni mwao huku Chelsea, Manchester United, Inter Milan na Barcelona zikitajwa kuwa na 'interest' na Mkali huyo.

Unampa Mbappe BIG YES au BIG NO kwenda Saudia ?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad