Davido Apoteza Followers 30,000 Kisa Kuwakashifu Waislam Kwenye VIDEO....


Staa wa Muziki kutoka Nigeria Davido anaripotiwa kupoteza Followers 30,000 katika kurasa yake ya Instagram ndani ya siku 3 baada ya skendo ya video ya msanii wake kusambaa online na kukera waumini wa dini ya Kiislamu na kugoma kuifuta kwa zaidi ya saa 24, na ata baada ya kuifuta Davido hajaomba radhi,

Wiki hii video zilisambaa za watu wakibandua picha zake kwenye mabango na kuzichoma mitaani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad