DEAL DONE: Simba Wamrudisha Luis Miquissone Wampa Mkataba wa Miaka Hii



Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa pembeni LUIS MIQUISSONE kwa mkataba wa miaka 3. Luis na Simba walishakubaliana personal terms tangu wiki iliyopita na baada ya juzi Alhy na Luis kuvunja ndoa yao, Simba wameseal deal kuwa DONE AND DUSTED 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad