Diamond Platnumz Awatupia Dongo Kali "Ukiona Mtoto Anapiga Kelele Ujue Bakora Imemuingia"



Msanii wa muziki wa bongofleva @diamondplatnumz amefunguka kufuatia kile kinachoendelea mitandaoni na kuandika ujumbe huu.

"Niko angani to TORONTO CANADA,nasikia huko duniani kila nyumba,club,chochoro na kona ya mtandao Gumzo ni enjoy...Hayo mengine niachie mie...Ukisikia mtoto anapiga kelele ujue bakora imemuingia!..maana wakifanya wengine utasikia magenius wanaakili wamesample ila tukifanya sie tumekopi,wangekua waumiza vichwa kweli wangeimba Mangaka,Lizombe au Lingunjumu Ngoma na miziki yetu....mbona wameenda kudandia amapiano? tena za kuandikiwa..
Nyenyenye! Nyenyenye! Fyuuuu!" @diamondplatnumz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad