Diamond Platnumz "Tumenusurika KIFO Katika Lift"


Star Wa Muziki Africa 🦁 @diamondplatnumz Ameweka Wazi Kunusurika Kifo Kwenye Lift Akiwa Pamoja Na @juma_jux Na Watu Kadhaa. #Diamond Ame-Share Video Namna Tatizo Lilivyotokea Wakiwa Kwenye Lift Hiyo Na Kuandika 👇

"Siku ya Leo mimi @juma_jux @fole_x na wenzetu kadhaa tumenusurika kifo kwenye Lifti.... Ndugu zangu wenye majengo marefu yenye kutumia Lifti tujitahidi kuzifanyia serivices hizi lifti zetu ili kuepusha madhara kwa Wananchi" - Diamond Platnumz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad