Diva Adai Kurudiana na Abdulrazak Baada ya Kuombwa Msamaha




"Nillipopata shida kwenye ndoa yangu nilipigiwa simu nyingi sana na viongozi karibia wote wa Serikalini kuanzia Wabunge na Mawaziri, nilipata upendo wa hali ya juu mpaka nililia. Ni kweli nimerudiana na mume wangu lakini baada ya kusuluhishwa"

"Nawashukuru watu wote waliosimama na mimi kuanzia mwanzo wa tatizo mpaka walipohakikisha nimekaa sawa, watakaonisema vibaya mimi sijali naangalia furaha ya moyo wangu zaidi

Na kwa iliowakwaza naomba wanisamehe" - Diva

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad