Diva Kamwandikia Haya Mume Wake Baada ya Kurudiana "Nisamehe tu Bure Mume Wangu"



Diva Hayaandika haya kuhusu Mume wake:

"Kwanza Very Proud of you @sheikh_abdulrazak_salum Na Ntasimama na wewe safar hii kwa kila story .. Nimefurahia umeweka waz hujamuoa huyo mtu anaetafuta attention. kama alikuja kwa style ya uongo wa kusema anahudumia familia na vingine nampa pole sana .. kama alikuja kuvuruga Mungu Kamvuruga yeye.. sidhan kama mtu anaweza vumilia kukanwa hadharani. Jaman Mume ana raha Yake ... hakuna Uke wenza hakuna nn .. watu wako busy wanatafuta kiki!. 😇
Mengine yote nimekusamehe nami nsamehe tu bure Mume Wangu Nakupendaaa!. ngoja nikaushe niendele Post vingine maana hve things to do!.
Nakupikia uje ule yo fave food 🥰 then tupike tulale as usual.
Yours Truly Ohaaa" Diva

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad