Rapper Drake aonesha Pete ya muundo wa Taji la mfalme aliyoinunua kwenye mnada ya the late Tupac Shakur yenye thamani ya dola Milioni 1 zaidi ya TZS Bilioni 2.
Siku ya Jumanne (Julai 25), kampuni ya mnada ya Sotheby's ilitangaza kuwa Pete hiyo ilivunja rekodi kwa kuuzwa kwa gharama kubwa zaidi, dola Milioni 1.02.
Pete hiyo ilibuniwa na @2pac mwenyewe na imepambwa na rubi za 'cabochon' zenye jumla ya carats 10 na almasi karibu carats tano. Pia ina maandishi "Pac & Dada 1996" kama heshima ya uchumba wa rapa huyo na Kidada Jones, binti wa Quincy Jones.
Ingawa Sotheby's hawakutaja jina la mnunuzi, ila sasa pete hiyo iko mikononi mwa nyota mkubwa wa Hip-Hop @champagnepapi. Alhamisi, Drake alitumia Instagram ku-promote wimbo mpya wa Travis Scott, "Meltdown," alioshirikishwa kutoka kwenye albamu mpya ya Utopia. Kwa kuonesha Pete hiyo adimu