Edo Kumwembe Afunguka Ukweli Mchungu "Yanga Wamekurupuka Kumsajili Beki Gift Fredy"

 


Ikiwa imepita siku moja tu Tangu Yanga itangaze kumsajili Mlinzi raia wa Uganda Gift Fred kutoka SC Villa ya Uganda.

Mchambuzi wa Michezo nguli kutoka Wasafi Media, Edo Kumwembe amesema kuwa hakuona haja kwa Klabu ya Yanga kusajili beki kwa sasa kwani waliopo wanatosha na wanafanya vyema.

Msikilize Edo kwenye Video hapa chini akifafanua kwa urefu hoja zake;

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad