Web

Fei Toto "Nitamiss Kutetema na Fiston Mayele"

Top Post Ad




Timu ya soka ya Azam FC leo wamepima wachezaji wao Afya kabla ya hivi karibuni kuanza safari ya Tunisia kwenda kwenye maandalizi ya msimu ujao.

Mchezaji wa Azam FC Feisal Salum amemwambia mchezaji Fiston Mayele kuwa atamiss kutetema kwake na yeye atamiss staili yake ya kuziba uso akiwa amefunga.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.