Haji Manara Atoa Kauli hii Kuhusu Yanga Kuweka Kiingilio Kikubwa Siku ya Mwananchi

Super Mihayo Mpya, Dawa Bora ya Kutibu Matatizo ya Nguvu za Kiume


Mdau wa masuala ya soka nhini na msemaji wa Klabu ya Yanga aliyefungiwa, Haji Manara amekuwa na mtazamo tofauti na wadau wa soka kuhusu tamasha la wiki ya Mwananchi ambalo Kilele chake kilifanyika juzi kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Manara amejaribu kutoa somo kuhusu matamasha kama haya, yaani huwezi kualika timu kubwa halafu ukataka kuweka kiingilio cha chini, kwanza unakuwa hujaitendea haki ile timu mualikwa na ukubwa wake.

"Yaani unaalikaje timu kama Kaizer Chiefs halafu kiingilio kiwe kidogo huo ukubwa wetu tunaotamba nao uko wapi," Haji Manara.

Hata hivyo Haji amekiri wazi pengine inawezekana wakawa walifeli kwenye muda sahihii wa kuwatangazia watu viingilio lakini siyo vinginevyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad