Ibrahim Ajib Atemwa Singida FG, Kocha Hana Mipango nae, Kutimkia Timu Hii

 

Ibrahim Ajib atemwa Singida FG, Kutimkia Timu Hii

Taarifa za kuaminika kutoka katika Klabu ya Singida Fountain Gate zinasema Kiungo Ibrahim Ajib hayupo kwenye Mipango ya Kocha ya Hans Van Pluijm Kwa Msimu Ujao ndani ya klabu ya Singida Fountain gate na ndio maana hata kwenye kwenye Pre season hajajumuishwa.


Taarifa kutoka Tanga zimethibisha kuwa yupo mikononi mwa Kocha Zahera Mwinyi ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Coastal Union na ni shabiki mkubwa wa mvhezaji huyo kwani alifanya nae kazi akiwa Yanga.


Ajib alijiunga na Singida mwishoni mwa msimu uliopita akitokea Azam FC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad