Meli kubwa kuliko zote duniani iitwayo "Icon of The Seas" inatarajiwa kuzinduliwa na kuanza kazi Januari 2024.
Meli Hiyo inatengenezwa na waundaji wa meli wa Finland kupitia kampuni yao ya "Royal Caribbean International" na itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5610 na wafanyakazi wa meli wapatao 2350 kwa wakati mmoja.