Jonas Mkude Aanza Kazi Rasmi Yanga na Tabasamu Ambalo Halijawahi Onekana Akiwa Simba

Jonas Mkude Aanza Kazi Rasmi Yanga na Tabasamu Ambalo Halijawahi Onekana Akiwa Simba


Kiungo mpya wa Yanga, Jonas Mkunde ameanza mazoezi na klabu yake hiyo mpya katika maandalizi kuelekea ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.


Mkude amesajiliwa na Yanga hivi karibuni baada ya kuachwa na klabu yake ya Simba aliyoitumikia kwa mafanikio makubwa kwa miaka 13 akiwa ndiye mchezaji pekee mkongwe Msimbazi.


Mazoezi ya Yanga yanaendelea katika kambi yao waliyoiweka Avic Town, Kigamboni jijini dar es Salaam chini ya kocha mpya Miguel Gamondi na benchi lake la ufundi.


Habari Zinazofanana:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad