Kaizer Baada ya Kichapo cha Yanga Chiefs Waenda Kutembea Zanzibar


Young Africans SC kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo imewaalika Klabu ya Kaizer Chiefs kutembelea Visiwa vya Zanzibar kama sehemu ya utalii katika visiwa vyenye vivutio bora.

Msafara huo ambao unaongozwa na Rais wa Young Africans Eng.Hersi @caamil_88 kwa uenyeji wa Makamu wa Rais Arafat Haji @arafat__ah wakiwa na Wageni wao chini ya BOBBY KAIZER utatembelea maeneo kadhaa ya vivutio na historia ya visiwani Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad