Kajala "Msiniletee Makasiriko Nina Miaka 40 Lakini Naonekana Kama Bado Nina Miaka 29"



Maisha yangu ni ya furaha zaidi kuliko vile ningeweza kueleza kwenye umri huu.Nina furaha kwamba nilizaliwa kama mimi YES kama mimi na siyo mtu mwingine. Nimekomaa vya kutosha kutambua kuwa mimi bado mtoto. Najua safari bado ni ndefu ila Mwenyezi MUNGU atanifikisha tena kwa ushindi mkubwa. Ahsante Mungu wangu, Ahsante wazazi wangu.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa toleo bora la mimi mwenyewe.

NB: 40 is fine when you look like 29🤪
Msinilete makasiriko in this post tafadhali 



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad