Kibegi cha Simba Chaongoza kwa Trend Twitter

 

Kibegi cha Simba Chaongoza kwa Trend Twitter

Kibegi cha Simba SC, kimeenda! Ndivyo unavyoweza kusema kwani kibegi hicho kimechagiza kwa kiasi kikubwa kuifanya akaunti ya Twitter ya Simba iongoze kwa trendi nchini.


Kupitia Twitter, kwenye kipengele kinachoonesha akaunti zinazotrend, inaonekana wa kwanza ni Simba SC ambayo ina tweets 12,700 ikifuatiwa na akaunti nyingine ambazo zina tweets 4800 na nyingine yenye 9000.


Kibegi hicho kinatarajia kufika kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro muda wowote kuanzia sasa ambapo taarifa zinaeleza ifikapo saa moja kamili usiku, uzinduzi rasmi wa jezi utafanyika mlimani hapo na jezi mpya za Simba msimu wa 2023-24 zitapatikana madukani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad