Jitihada za klabu ya Simba kumshawishi winga hatari Luis Jose Miquissone zinaelekea kugonga mwamba kwani mchezaji amegoma kushusha mshahara wake anaolipwa na klabu yake ya Al Ahly
Hivyo Miquissone yupo tayari sasa kwenda klabu yoyote ambayo itaweza kumlipa mshahara sawa na anaolipwa na Al Ahly