.
Nimecopy na kupesti nilichoandika kwenye App.
.
@abigail_chams @marioo_tz
.
Sasa ni hivi hiyo nyimbo mpya aliyotoa Mariooo ft Ali Kiba, Love Song ina bonge ya drama kwenye background.
Mnaambiwa @abigail_chams toka nyimbo itoke jana analia mtoto analiaaaa kachanganyikiwaaaaaa haaamini anachokioa. Kaumia mno.
Sasa why Abby aumie? Aisee ni hivi hiyo nyimbo originally ilikuwa ni Marioo ft Abby Chams. Watu wa huko studio wanakwambia Abby na Mariooo wameingia studio wamerekodi nyimbooo mnaambiwa ilikuwa bonge moja ya nyimbo. Abby mnaambiwa anachoumia ni kaspend muda wake kuandika mashairi yake, kapoteza muda kurekodi then nyimbo inakuja kutoka yeye katolewa bila kuambiwa kawekwa Ali Kiba.
Sasa what happed? Mnaambiwa Paula na Kajala ndo waliomtoa mtoto wa watu kwenye nyimbo. Mnaambiwa Paula na Kajala walimwambia Marioo hakuna kutoa nyimbo na Abby.Paula akamwambia akitoa huyo wimbo wa mapenzi na Abby wanaachana. Kajala ndo alikuwa haelewi kabisaaaaaa. Mnaambiwa Paula na Kajala wamesikilizishwa wimbo na Mariooo few days kabla ya wimbo ulivyotakiwa kutoka originally ndo wakapandisha mori mtu na mwanae ikabidi Mariooo amuombe Kiba fastaaa aimbe sehemu ya Abby. Ila mnaambiwa original version part ya Kiba kaimba Abby na ilikuwa kali ila ndo Paula na Kajala wakagoma na Mariooo alivyotishiwa na Paula kuwa atamuacha akitoa huo wimbo na Abby ndo ikabidi amtoe Abby
Kwa kifupi Paula na Kajala wamejenga chuki kubwa na yule mtoto mpaka wanamwaribia career yake. Navyoowaambia Ki Abby kimedataaaaa, mnaambiwa kimelia mpaka kwikwi.
.
Alafu bora Marioo angekuwa mstaarabu akamwambia Abby before wimbo kutoka ila kam suprise tu. Msitegee tena ft ya Marioo and Abby, yale magume gume ya mjini yamemshika masikio mpaka wanampangia kazi, yani kama walivyofanya kipindi wamemshika masikio Konde, Konde mpaka alimweka Kajala manager wake na kuwatimua kina Anjela. Ndo kinachotokea kwa Marioo sasa hivi.
.
.
@abigail_chams don’t cry toto, kama Mungu amekupangia mafanikio utayapata tu huyo Marioo na hayo magume gume yake hawawezi kukuzibia rizki ambayo umeshapangiwa na Allah.