Mashabiki wa Klabu ya ASEC Mimosas Waingilia Kati Wachezaji wao Kukimbilia Tanzania



Mashabiki wa Klabu ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast wamechukizwa na kuondoka kwa Kramo, Yao na Zougrana.


Uongozi wa klabu umetoa ufafanuzi ni kwa nini hasa imeamua kuachana na nyota hao ndani ya kikosi chao.

"Wamekiri kuwa wana kiwango kikubwa cha mishahara,wakati hali ya uchumi kama klabu kwao mgumu

Wachezaji wameondoka kwa sababu walipewa ofa kubwa ambazo wao hawana uwezo wa kuwapa.

Simba na Yanga kwa nyakati kadhaa msimu huu wamebeba wachezaji kutoka katika Klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad