Mayele Kukabidhi Jezi Namba 9 Leo kwa Mkapa




Fiston Kalala Mayele kuagwa siku ya leo Julai 22 kwenye kilele cha Siku ya Wananchi Jiji Dar es Salaam (Kwa Mkapa),

Fiston Kalala Mayele ameshauzwa na klabu ya Yanga na sasa ni Mchezaji halali wa klab ya Pyramids Kwa dau linalokadiriwa kufikia Bilioni 2.8


Fiston Pia siku ya leo atamkabidhi Mrithi wake ndani ya Yanga Jezi namba 9 aliyokuwa akiitumia klabuni hapo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad