Baada ya utambulisho huo ni wa Fiston Kalala Mayele ameondoka Yanga kutokana na jina lake kutotajwa katika list ya Wachezaji wapya wa Yanga.
Mayele pamoja na wenzake Djuma Shabani na Yanick Bangala nao hawajatajwa katika kikosi cha msimu ujao ni wazi wameachana na Yanga kabisa.