Mayele Kweli Hayupo Yanga, Jina Lake Lakosekana Utambulisho Siku ya Wananchi


Yanga SC imetambulisha Wachezaji watakaowatumia katika msimu 2023/24 wa Mashindano mbalimbali.

Baada ya utambulisho huo ni wa Fiston Kalala Mayele ameondoka Yanga kutokana na jina lake kutotajwa katika list ya Wachezaji wapya wa Yanga.

Mayele pamoja na wenzake Djuma Shabani na Yanick Bangala nao hawajatajwa katika kikosi cha msimu ujao ni wazi wameachana na Yanga kabisa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad