MBOWE: Serikali Iwachukulie Hatua Walioliingiza Taifa Katika Mkataba Huh




Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amesema Mkataba wa Uendeshaji Bandari kati ya Tanzania na Dubai ni Mbovu, haurekebishiki na umelidhalilisha Taifa kwa uamuzi wa Watu wachache ambao wanapaswa kuchukuliwa hatua za Kisheria

Akitaja Maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho amesema Bunge linatakiwa kufuta Azimio lake la kuridhia Mkataba wa Uendeshaji wa Bandari kwasababu hauna Maslahi kwa Nchi

Aidha, Mbowe amesema Kamati Kuu ya CHADEMA inaunga mkono jitihada za Wananchi kupinga Mkataba huo ikiwemo Wanasheria waliofungua Kesi katika Mahakama mbalimbali Nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad