Mchambuzi "Vijana wa Digital wa Yanga Hawana Uwezo, Inshu ya Kibegi Cha Simba iliwacost"



Mchambuzi @scanda24 hajapenda kabisa ufanyaji wa kazi wa idara ya Digital ya klabu ya Yanga, Anaongea ✍️

"Nasema kwa maneno mafupi sana, Hiki kibegi na kudoda kwa Promotion ya Yanga kosa ni la Idara yake ya DIGITAL wao ndio walaumiwe. Kile kitendo cha kuanza kuleta UBISHANI Rasmi kwenye page zake kuhusu Jezi ipi imewahi kufika kilele cha mlima Kilimanjaro ndio kosa lao la Msingi"

Kuwa kwenye DIGITAL Department inatakiwa kuwa na watu wenye uwezo mkubwa Wa “Social Media Psychology” bahati mbaya vijana wale hawana huu uwezo hivyo ni RISK kwenda nao kwenye matukio makubwa"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad