Mohammed Dewji Atoa Kauli ya Kukata Tamaa Uwekezaji Simba


Rais wa heshima wa Club ya Simba Mfanyabiashara Mohammed Dewji amesema anakaribia kukata tamaa kutokana na mchakato wa mabadiliko wa Club hiyo kutokukamilika hadi sasa huu ukiwa ni mwaka wa sita.

Mo ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa twitter ———> “Transformation ya Simba bado haijakamilika huu ni mwaka wa 6, karibuni ntakata tamaa"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad